KIPESILE | 11 - 20 |
HTML-код
- Опубликовано: 13 апр 2025
- #10ontrending
Karibu katika Group letu la WhatsApp kwa USHAURI na MAONI binafsi kuhusu kazi zetu
chat.whatsapp.....
#TwinsNationTz #aderymasta #kipesile #BabaJoan #txdullah #clamvevo #bestfriendclamvevo #bigbossClamVevo
#AderyMasta #ComedyMpya #standupcomedytanzania #tanzaniacomedians #osogocomedy #ttcomedianvideos #bujingocomedy #ttcomedianlatest #mifugotanzania #BichwaProduction #directorbravo #KaziMedia #MrNavvyOg #txdullah #NduttuM1 #Bhailam #KPwaAquino #ComedyPlus #ShadowTV #TwinsNationTz #BabaJoan #EPMMEDIA #focusstudio16
#AderyMasta #ComedyMpya #standupcomedytanzania #tanzaniacomedians #osogocomedy #ttcomedianvideos #bujingocomedy #ttcomedianlatest #mifugotanzania #BichwaProduction #directorbravo #KaziMedia #MrNavvyOg #txdullah #NduttuM1 #Bhailam #KPwaAquino #ComedyPlus #ShadowTV #TwinsNationTz #BabaJoan #EPMMEDIA #FocusStudio16#TwinsNationTz #BabaJoan #txdullah #clamvevo #bestfriendclamvevo #bigbossClamVevo
#AderyMasta #ComedyMpya #standupcomedytanzania #tanzaniacomedians #osogocomedy #ttcomedianvideos #bujingocomedy #ttcomedianlatest #mifugotanzania #BichwaProduction #directorbravo #KaziMedia #MrNavvyOg #txdullah #NduttuM1 #Bhailam #KPwaAquino #ComedyPlus #ShadowTV #TwinsNationTz #BabaJoan #EPMMEDIA #FocusStudio16 #BossMchawi #ChingaMedia #kichechecomedy #biggboss
Subscribe our RUclips channel for more Drama from Adery Masta Tanzania
Clam VEVO
Boss mchawi / 28 /
Boss episode 28
Boss mchawi ep28
Big boss
clam VEVO big boss 11
Clam VEVO comedy
LAST CARD 25
kp wa aquino
Kicheche comedy
Asma comedian
House Of Horror
horrorstory
wrong House 4
Wrong House 5
Mwanafurnzu WA Ajabu
snake Boss season 2 episode 16
Raha diamond
baba joan
wrong House 6
Shado tv
wrong HOUSE / 1 /
komasava
diamond komasava
Bhailam tv
Twins nation
mistake 7
Mweusi Family
nigeria movie plus
wake wenza
kicheche
Steve mweusi
Ndoro mjeshi
mjeshi kikofia
yanga tv
snake Boy 17
Simba Tanzania
nbs premier league
snake Boy l 16 l
Ngao ya jamii Tanga
azama tv
Boss Mchawi 17
Boss mchawi episode 17
Boss mchawi CHINGA media
Azam fc
Boss mchawi Ep 20
Luis Miquisson
Esomba onana goals
Penzi la mchawi
Cheka tu
Txdulla
Clam VEVO mwanafunzi mchawi
uchanbuzi wa kina
baraka mpenja
mpenja tv
clouds media
Boss
wasafi media
edigital
Wasafi festively 2023
jua kali
maisha magic bongo
Move nzuri sana tunaofatilia move hii kwa umakini sana tujuane
Kazi kunywa chai za wagonjwa tu! Kufanya kazi yako ya uchawi,aah! 😂😂😂😂😂kipesile bwana
Kwa kweli hii filamu Ina mafunzo mno ila inatisha. Bali naipenda sana naitazama nikiwa hapa Kenya🇰🇪🇰🇪
anayemmiss Shani wa nitakuramba kama koni 🤣🤣aweke like hapa
Mnatafuta like kijanja😂😂😂😂😂 kuludia ludia ndio nini
Mngetoa ep 22 hadi 50 nitawaona wa maana 😮
Kipesile 😂😂weee kiboko mawig yakunuka vumbi
Hii movie nzuri sana lakin mzee wangu katisha sana mzee noma nakubali sana mzee 🙏
Huyu halima arudishwe tu huko misukuleni maana anakumiss naona 😅😂😅😂😅😅
Nipo live nipeni like zaguuu 🎉🎉🎉❤❤❤🎉🎉
Wa pili kutoka Kenya 🎉❤
Wa Kwanza tokea kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪wap likes jamani
Asante sana mr adery master,kwa kazi nzuriii,nimefurahi kwa kutujumulishiie filamu yetu,shukraniii,bado tupooo hatulalii,,tunajipumbazaaa kuangalia hizii ep za nyumaaa,kumakinishaaaa nyoyoo zetuu,tukoooopamojaaa masta film,ilaaaaa najua uko jikoni unatayarisha chakula chetuu,........nasiiii tupoooo piaa tunasubiria kiiivee ,utuandalieeee tuleee tusikizieee utaaaamuuuu wakee,,,,,,,shukran sanaaaa,(usikuuuu mwemaaa)inshaa allah munguuu awabarikii,,,
Shukran sana Nagib , Inshallah
@aderymasta shukran,na Asante.....tukooopamojaaa(siku njemaaa)
Naomba like toka 🇺🇬 🇺🇬🇺🇬
Wa kwanza from🎉Tz🫶♥️
Babake Buda hatari... Nampenda bureee
Uuuii movie ni Noma uku kwani mbona Kipesile haishi na mamake
Alifukuzwa kijijin uchawi mamake s huyo shan
Mwalimu kwako sasa,kichapo kweli kweli waa
movie noma sanaa😮😮😮😮
Mzee buda unaweza
Wa kwanza 😂😂😂 keep it up ❤
Baba yak bud mugumuuuuu daaa!!!
Kikweli nimeejoy sn kazi nzuri kipesile ❤
Nawafatilia sana napenda kipindi chenu❤
Safi
Kazi kubwa mzee bunda
Eagerly waiting for episode 22🎉🎉🎉❤❤❤
hey
Baba budaa acheki ata kidogo😂😂😂🎉🎉
Hongera
Kipesile anajua huyu mtoto,, anavaa kuhusik ipaswavyo
Jameni kipesile,iki kinacheka cheka bure kitaokoa kweli
Mm wa kwanza
❤❤❤pamoja
Ila huyu alovaa nguo nyeusi ananichekesha sana😂😂😂
Maboss vipi
Poa
Sheh sasa 😂😂😂
Wakwanza weeeeee
Nipo naifatilia hi mv kiukweli inavutia na inafundisha uhalisia wa maisha ya wachawi
Nikiwa na dada kama Alimah nampiga chai niwamwagie mbwa wanywe😅😅😅.......
Arima anazinguwa 🐈 anakera
Huyu dada nae kucheka cheka mhhh
Mambo ya kipesile ayo kamfany mwehu
Mambo ya kipesile ayo kamfany mwehu
Kumbe marudio we Adery ni nin hii sasa
Huyu baba halima jameni ....anaonyesha mepezi ya kweli ma ulinzi kama baba mwema
😅hapo kwa i'am finish sasa😂😂😂
jaman kipasil ni wa kikbau kiume
Kalisana hii movie 🎉
Mama kichaa xana 😂😂😂😂
KIPESILE ANALETA MABALAA
Kucheka 😂😂😂😂
Tia like mwanafamilia
🤔🤔🤔🤔Huyu malasta wakulambakama con so mdogowake na mwakatobekweli
wow🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Tuletee episode 22😢
Kwani iyo sm si apokonywe
Ee! Vioja,huku Kenya,hiyo misekule nimambo ya ajabuu.
Huyu anaye chekacheka anaboa kishenzi yani
Hii ni ubaya ubwela
Mnazingua sasa
Nice movie😢😢
Arima anazinguwa 😢😢😢😢
Kaz nzur
Mbona mnarudia épisode za nyuma
Like za wakwanza hapa
@@Bongojambo Dah! Umeniotea jamaa nikajua me ndo wa kwaza kumbe wa 2 🤣🤣🤣🤣 chukua 🎉🎉🎉🎉🎉🎉 yako 🤣🤣🤣🤣🤣
@Mzukavibes 😁😁😁😁😋 kula chuma hikoo😆
Ujinga tu😂
Twangoja episode 22, when is it dropping
Msirumfanyie hv mnamaliA MB
😂😂😂😂
Mimi ndiyo wakwanza
Mungu anisamehe ila watu kama halima hua siwapendi achukuliwe tuu msukule watu wakae kwa.amani
😅😅😅😅
😂😂😂wamchukue msukule tu mimi nakuunga mkono
Mbon haina mwisho
Episode ya 21 IMETOKA TYR ... IPO hapahapa katika RUclips channel ya Adery Masta....
Hajafika
Lihalima lishenz mpaka linaboa
😮❤
🙄🙄🙄
Tunatk ya 21
😂
❤❤❤❤
😂😂😂